-
Isaya 31:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Yehova atakapounyoosha mkono wake,
Yeyote atakayetoa msaada atajikwaa
Na yeyote atakayesaidiwa ataanguka;
Wote wataangamia wakati mmoja.
-
-
Yeremia 2:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Kwa nini unaiona njia yako isiyo thabiti kuwa jambo dogo?
-