Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Mambo ya Nyakati 32:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Je, Hezekia hawapotoshi ili mfe kwa njaa kali na kiu, anaposema: “Yehova Mungu wetu atatuokoa kutoka mikononi mwa mfalme wa Ashuru”?+

  • 2 Mambo ya Nyakati 32:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Sasa msiache Hezekia awadanganye au kuwapotosha hivyo!+ Msimwamini, kwa maana hakuna mungu yeyote wa taifa lolote au ufalme aliyeweza kuwaokoa watu wake kutoka mikononi mwangu na kutoka mikononi mwa mababu zangu. Basi, Mungu wenu atawezaje kuwaokoa ninyi kutoka mikononi mwangu?’”+

  • Danieli 3:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Basi mtakaposikia sauti ya pembe, zumari, zeze, kinubi cha pembe tatu, kinanda, zumari-tete, na ala nyingine zote za muziki, mkiwa tayari kuanguka chini na kuabudu sanamu ambayo nimeitengeneza, ni sawa. Lakini mkikataa kuabudu, mtatupwa mara moja katika tanuru lenye moto mkali. Na ni mungu gani anayeweza kuwaokoa kutoka mikononi mwangu?”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki