Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 25:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Katika siku ya tisa ya mwezi wa nne njaa ilikuwa kali sana+ jijini, na watu waliokuwemo hawakuwa na chakula.+

  • Yeremia 21:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 “‘“Baada ya hayo,” asema Yehova, “Nitamtia Mfalme Sedekia wa Yuda na watumishi wake na watu wa jiji hili—wale watakaookoka ugonjwa hatari, upanga, na njaa kali—mikononi mwa Mfalme Nebukadneza* wa Babiloni, mikononi mwa maadui wao na mikononi mwa wale wanaotaka kuwaua.*+ Atawaua kwa upanga. Hatawasikitikia wala kuwahurumia wala kuwaonyesha rehema yoyote.”’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki