Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Na maiti zenu zitakuwa chakula kwa kila ndege wa angani na mnyama wa ardhini, na hakuna mtu atakayewafukuza.+

  • Zaburi 79:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  2 Wamewapa ndege wa angani maiti za watumishi wako kuwa chakula chao

      Na miili ya washikamanifu wako wamewapa wanyama wa mwituni wa dunia.+

  • Yeremia 16:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 ‘Watakufa kwa magonjwa hatari,+ lakini hakuna atakayewaombolezea wala kuwazika; watakuwa kama mbolea kwenye ardhi.+ Wataangamia kwa upanga na kwa njaa kali,+ na maiti zao zitakuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa duniani.’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki