-
Yeremia 39:13, 14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Basi Nebuzaradani mkuu wa walinzi, Nebushazbani yule Rabsarisi,* Nergal-shareza yule Rabmagi,* na wakuu wote wa mfalme wa Babiloni wakawatuma watu 14 wamtoe Yeremia katika Ua wa Walinzi+ na kumkabidhi kwa Gedalia+ mwana wa Ahikamu+ mwana wa Shafani+ ili apelekwe nyumbani kwake. Basi akaishi pamoja na watu wengine.
-
-
Yeremia 41:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Ishmaeli mwana wa Nethania na wale watu kumi waliokuwa pamoja naye wakasimama na kumpiga kwa upanga Gedalia mwana wa Ahikamu mwana wa Shafani. Kwa hiyo akamuua mtu ambaye mfalme wa Babiloni alikuwa amemweka kuwa msimamizi nchini.
-