-
Yeremia 40:5, 6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Hata kabla Yeremia hajageuka kuondoka, Nebuzaradani akamwambia: “Rudi kwa Gedalia+ mwana wa Ahikamu+ mwana wa Shafani,+ ambaye mfalme wa Babiloni amemweka juu ya majiji ya Yuda, nawe ukae pamoja naye miongoni mwa watu; au uende popote unapotaka.”
Ndipo mkuu wa walinzi akampa posho ya chakula na zawadi, akamruhusu aende zake. 6 Basi Yeremia akaenda kwa Gedalia mwana wa Ahikamu kule Mispa+ na kukaa pamoja naye miongoni mwa watu waliobaki nchini.
-