Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 21:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Wale watakaobaki katika jiji hili watakufa kwa upanga, kwa njaa kali, na kwa ugonjwa hatari. Lakini yeyote atakayetoka na kujisalimisha kwa Wakaldayo wanaowazingira ataendelea kuishi, naye atapata uhai wake* kama nyara.”’*+

  • Yeremia 42:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Kwa hiyo, jueni kwa hakika kwamba mtakufa kwa upanga, kwa njaa kali, na kwa ugonjwa hatari mahali mnapotamani kwenda kuishi.”+

  • Yeremia 43:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Naye ataingia na kuipiga nchi ya Misri.+ Yeyote aliyekusudiwa kufa kwa ugonjwa hatari atakufa kwa ugonjwa hatari, na yeyote aliyekusudiwa kwenda utekwani ataenda utekwani, na yeyote aliyekusudiwa kufa kwa upanga atakufa kwa upanga.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki