Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 24:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Nitamwona, lakini si sasa;

      Nitamtazama, lakini si hivi karibuni.

      Nyota+ itatoka kwa Yakobo,

      Na fimbo ya ufalme+ itainuka katika Israeli.+

      Naye hakika atapasua paji la uso la Moabu+

      Na fuvu la kichwa la wana wote wa vurugu.

  • Amosi 2:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  2 Kwa hiyo nitaishushia moto Moabu,

      Nao utateketeza kabisa minara ya Keriothi yenye ngome;+

      Moabu itakufa katika ghasia,

      Kwa kelele za vita, kwa mlio wa pembe.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki