Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 25:11, 12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Nebuzaradani mkuu wa walinzi aliwapeleka uhamishoni watu wote waliobaki jijini, watu waliojisalimisha kwa mfalme wa Babiloni, na watu wengine.+ 12 Lakini mkuu wa walinzi aliwaacha baadhi ya watu maskini kabisa nchini ili watunze mashamba ya mizabibu na kufanya kazi za kulazimishwa.+

  • Yeremia 39:9, 10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Nebuzaradani+ mkuu wa walinzi akawapeleka uhamishoni kule Babiloni watu waliobaki jijini, na wale waliojisalimisha kwake, na yeyote aliyebaki.

      10 Lakini Nebuzaradani mkuu wa walinzi aliwaacha katika nchi ya Yuda baadhi ya watu maskini kabisa, wale ambao hawakuwa na chochote. Siku hiyo aliwapatia pia mashamba ya mizabibu na mashamba mengine ili wayalime.*+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki