Ayubu 38:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Na ni nani aliyeizuia bahari nyuma ya milango+Ilipotoka kwa nguvu katika tumbo la uzazi, Ayubu 38:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Nami nikaiambia, ‘Unaweza kufika hapa, lakini usipite hapa;Hapa ndipo mawimbi yako ya kifahari yatakapokomea’?+ Zaburi 33:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Huyakusanya maji ya bahari kana kwamba ni bwawa;+Huyaweka mawimbi makubwa ya maji katika maghala. Methali 8:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Alipoiwekea bahari sheriaKwamba maji yake yasipite agizo lake,+Alipoiweka* misingi ya dunia, Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025) Toka Ingia Kiswahili Shiriki Mapendezi Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania Masharti ya Utumiaji Sera ya Faragha Mpangilio wa Faragha JW.ORG Ingia Shiriki Shiriki Kupitia Barua-pepe
8 Na ni nani aliyeizuia bahari nyuma ya milango+Ilipotoka kwa nguvu katika tumbo la uzazi, Ayubu 38:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Nami nikaiambia, ‘Unaweza kufika hapa, lakini usipite hapa;Hapa ndipo mawimbi yako ya kifahari yatakapokomea’?+ Zaburi 33:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Huyakusanya maji ya bahari kana kwamba ni bwawa;+Huyaweka mawimbi makubwa ya maji katika maghala. Methali 8:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Alipoiwekea bahari sheriaKwamba maji yake yasipite agizo lake,+Alipoiweka* misingi ya dunia,
11 Nami nikaiambia, ‘Unaweza kufika hapa, lakini usipite hapa;Hapa ndipo mawimbi yako ya kifahari yatakapokomea’?+