Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:23, 24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Anga lililo juu ya vichwa vyenu litakuwa shaba, na dunia iliyo chini yenu itakuwa chuma.+ 24 Yehova atafanya mvua ya nchi yenu iwe ungaunga na mavumbi ambayo yatawanyeshea kutoka mbinguni mpaka mtakapoangamia kabisa.

  • Yeremia 3:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  3 Kwa hiyo manyunyu ya mvua yamezuiwa,+

      Na hakuna mvua ya masika.

      Una uso wenye* ushupavu kama mwanamke anayefanya ukahaba;

      Umekataa kuona aibu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki