24Katika siku za utawala wa Yehoyakimu, Mfalme Nebukadneza+ wa Babiloni alikuja kumshambulia, Yehoyakimu akawa mtumishi wake kwa miaka mitatu. Hata hivyo, alimgeuka na kumwasi.
4 Zaidi ya hayo, mfalme wa Misri alimweka Eliakimu ndugu ya Yehoahazi kuwa mfalme wa Yuda na Yerusalemu na kubadili jina lake kuwa Yehoyakimu; lakini Neko+ akamchukua Yehoahazi ndugu yake na kumpeleka Misri.+