-
Isaya 40:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Humtafuta fundi stadi
Ili atengeneze sanamu ya kuchongwa ambayo haitaanguka.+
-
-
Isaya 44:14, 15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Kuna mtu ambaye kazi yake ni kukata mierezi.
Huchagua mti wa aina fulani, mwaloni,
Naye huuacha uwe imara kati ya miti ya msituni.+
Hupanda mlaurusi, na mvua huufanya ukue.
15 Kisha unakuwa kuni zinazotumiwa na mwanadamu kuwasha moto.
Huchukua baadhi yake ili aote moto;
Huwasha moto na kuoka mkate.
Lakini pia hutengeneza mungu na kumwabudu.
Huutengeneza kuwa sanamu ya kuchongwa, na kuiinamia.+
-
-
Habakuki 2:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Sanamu ya kuchongwa ina faida gani
Na mtu ndiye aliyeichonga?
-