Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 43:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  5 Usiogope, kwa maana nipo pamoja nawe.+

      Nitauleta uzao wako* kutoka mashariki

      Na kukukusanya kutoka magharibi.+

  • Ezekieli 34:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Nitawatoa katika mataifa na kuwakusanya pamoja kutoka katika nchi hizo na kuwaleta katika nchi yao na kuwalisha kwenye milima ya Israeli,+ kando ya vijito na kando ya makao yote nchini.

  • Sefania 3:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Wakati huo nitawaleta ndani,

      Wakati nitakapowakusanya pamoja.

      Kwa maana nitawafanya kuwa kitu cha umaarufu* na sifa+ miongoni mwa mataifa yote duniani,

      Nitakapowakusanya mateka wenu mbele ya macho yenu,” asema Yehova.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki