Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 4:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 nachukua mbingu na dunia ili ziwe mashahidi dhidi yenu leo ya kwamba kwa hakika mtaangamia haraka kutoka katika nchi mnayovuka Yordani kwenda kuimiliki. Hamtaishi kwa muda mrefu katika nchi hiyo, badala yake mtaangamizwa kabisa.+

  • Maombolezo 2:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  2 Yehova ameyameza makao yote ya Yakobo bila huruma.

      Katika hasira yake amebomoa ngome za binti ya Yuda.+

      Ameushusha chini ardhini na kuuchafua ufalme+ na wakuu wake.+

  • Ezekieli 9:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Lakini mimi, jicho langu halitasikitika; wala sitawahurumia.+ Nitawaletea madhara ya njia yao juu ya kichwa chao wenyewe.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki