-
Danieli 10:5, 6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 niliinua macho yangu nikamwona mwanamume aliyevaa mavazi ya kitani,+ na kiunoni mwake alikuwa na mshipi wa dhahabu kutoka Ufazi. 6 Mwili wake ulikuwa kama krisolito,+ uso wake ulionekana kama radi, macho yake yalikuwa kama mienge inayowaka moto, mikono yake na miguu yake ilionekana kama shaba iliyong’arishwa,+ na mvumo wa maneno yake ulikuwa kama mvumo wa umati wa watu.
-