Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 37:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 waambie, ‘Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova anasema hivi: “Nitakichukua kijiti cha Yosefu, kilicho mkononi mwa Efraimu, na makabila ya Israeli yaliyo pamoja naye, nami nitakiunganisha na kijiti cha Yuda; nami nitavifanya viwe kijiti kimoja,+ navyo vitakuwa kijiti kimoja mkononi mwangu.”’

  • Zekaria 10:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Nitaifanya nyumba ya Yuda iwe kuu sana,

      Nami nitaiokoa nyumba ya Yosefu.+

      Nitawarudisha,

      Kwa maana nitawaonyesha rehema;+

      Nao watakuwa kama watu ambao sijawahi kuwatupa;+

      Kwa maana mimi ni Yehova Mungu wao, nami nitawajibu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki