1 Wafalme 2:35 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 35 Halafu mfalme akamweka Benaya+ mwana wa Yehoyada kuwa mkuu wa jeshi baada yake, na mfalme akamweka Sadoki+ kuwa kuhani badala ya Abiathari. Ezekieli 43:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 “‘Utawapa makuhani Walawi wazao wa Sadoki+ wanaonikaribia ili kunihudumia ng’ombe dume mchanga wa kundi kwa ajili ya dhabihu ya dhambi,’+ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova.
35 Halafu mfalme akamweka Benaya+ mwana wa Yehoyada kuwa mkuu wa jeshi baada yake, na mfalme akamweka Sadoki+ kuwa kuhani badala ya Abiathari.
19 “‘Utawapa makuhani Walawi wazao wa Sadoki+ wanaonikaribia ili kunihudumia ng’ombe dume mchanga wa kundi kwa ajili ya dhabihu ya dhambi,’+ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova.