Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 1:3, 4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 neno la Yehova lilimjia Ezekieli* mwana wa Buzi kuhani akiwa kando ya mto Kebari katika nchi ya Wakaldayo.+ Na huko, mkono wa Yehova ukaja juu yake.+

      4 Nilipokuwa nikitazama, nikaona tufani ya upepo+ ikija kutoka kaskazini, na kulikuwa na wingu kubwa na moto unaowakawaka*+ uliozungukwa na nuru nyangavu, na katikati ya ule moto kulikuwa na kitu kilichong’aa kama mchanganyiko wa dhahabu na fedha.+

  • Ezekieli 3:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Basi nikaondoka na kwenda kwenye bonde tambarare, na tazama! utukufu wa Yehova ulikuwa huko,+ kama utukufu niliokuwa nimeuona kando ya mto Kebari,+ nami nikaanguka chini kifudifudi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki