Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 30:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 “Nawe, mtumishi wangu Yakobo, usiogope,” asema Yehova,

      “Wala usihofu, Ee Israeli.+

      Kwa maana nitakuokoa kutoka mbali

      Na uzao wako kutoka katika nchi waliyopelekwa utekwani.+

      Yakobo atarudi na kuwa na utulivu bila usumbufu,

      Na hakuna yeyote atakayewaogopesha.”+

  • Yeremia 44:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Ni wachache tu watakaoponyoka upanga nchini Misri na kurudi katika nchi ya Yuda.+ Kisha watu wote wa Yuda waliobaki ambao walienda kukaa nchini Misri watajua ni neno la nani lililotimia, langu au lao!”’”

  • Ezekieli 14:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Lakini, baadhi ya watu waliobaki humo wataponyoka na kutolewa nje,+ wana na mabinti. Wanakuja kwenu, nanyi mtakapoona njia zao na matendo yao, kwa hakika mtafarijiwa kuhusiana na msiba ambao nilileta dhidi ya Yerusalemu, kuhusu kila jambo ambalo nilitenda dhidi ya jiji hilo.’”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki