-
Yeremia 44:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Nao wale wanaookoka upanga, watarudi kutoka katika nchi ya Misri kwenda katika nchi ya Yuda, hesabu yao wakiwa ni wachache;+ na wale wote wa mabaki ya Yuda, wanaoingia katika nchi ya Misri kukaa humo wakiwa wageni, watajua hakika ni neno la nani linalotimia, lile linalotoka kwangu au lile linalotoka kwao.”’”+
-