Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 29:22, 23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 “Kizazi cha wakati ujao cha wana wenu na pia wageni kutoka nchi ya mbali watakapoona mapigo ya nchi, magonjwa ambayo Yehova ameleta juu yake— 23 kiberiti na chumvi na kuteketea, hivi kwamba nchi yote haitapandwa wala kuchipuza mimea, wala hakuna mmea wowote utakaoota ndani yake, kama ilivyokuwa wakati wa maangamizi ya Sodoma na Gomora,+ Adma na Seboiimu,+ majiji ambayo Yehova aliyaangamiza katika hasira yake na katika ghadhabu yake—

  • Zaburi 107:33, 34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Yeye hubadili mito kuwa jangwa,

      Na chemchemi za maji kuwa ardhi iliyokauka,+

      34 Nchi inayozaa kuwa nchi iliyoharibika yenye chumvi,+

      Kwa sababu ya uovu wa wale wanaokaa humo.

  • Yeremia 17:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Atakuwa kama mti ulio peke yake jangwani.

      Hataona mema yatakapokuja,

      Lakini atakaa mahali pakavu nyikani,

      Katika nchi yenye chumvi ambayo hakuna mtu anayeweza kuishi ndani yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki