Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 119:53
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 53 Nimeshikwa na hasira kali kwa sababu ya waovu,

      Wanaoiacha sheria yako.+

  • 2 Petro 2:7, 8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Naye alimwokoa Loti mwadilifu,+ aliyetaabishwa sana na mwenendo mpotovu* wa waasi sheria— 8 kwa maana siku baada ya siku mtu huyo mwadilifu alikuwa akiitesa nafsi* yake yenye uadilifu kwa sababu ya matendo ya kuasi sheria aliyoona na kusikia alipokuwa akiishi miongoni mwao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki