Zaburi 107:33, 34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 33 Yeye hubadili mito kuwa jangwa,Na chemchemi za maji kuwa ardhi iliyokauka,+34 Nchi inayozaa kuwa nchi iliyoharibika yenye chumvi,+Kwa sababu ya uovu wa wale wanaokaa humo. Yeremia 6:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Kama tangi linavyohifadhi maji yake yakiwa baridi,Ndivyo anavyohifadhi uovu wake ukiwa baridi. Ukatili na maangamizi yanasikiwa ndani yake;+Ugonjwa na tauni viko mbele zangu daima.
33 Yeye hubadili mito kuwa jangwa,Na chemchemi za maji kuwa ardhi iliyokauka,+34 Nchi inayozaa kuwa nchi iliyoharibika yenye chumvi,+Kwa sababu ya uovu wa wale wanaokaa humo.
7 Kama tangi linavyohifadhi maji yake yakiwa baridi,Ndivyo anavyohifadhi uovu wake ukiwa baridi. Ukatili na maangamizi yanasikiwa ndani yake;+Ugonjwa na tauni viko mbele zangu daima.