Isaya 37:36 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 36 Na malaika wa Yehova akaenda na kuwaua wanaume 185,000 katika kambi ya Waashuru. Watu walipoamka asubuhi na mapema, waliona maiti zote hizo.+ Zekaria 10:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Ni lazima apite baharini kwa msukosuko;Na humo baharini atayapiga mawimbi yatulie;+Vilindi vyote vya Mto Nile vitakauka. Kiburi cha Ashuru kitashushwa,Na fimbo ya mfalme wa Misri itaondoka.+
36 Na malaika wa Yehova akaenda na kuwaua wanaume 185,000 katika kambi ya Waashuru. Watu walipoamka asubuhi na mapema, waliona maiti zote hizo.+
11 Ni lazima apite baharini kwa msukosuko;Na humo baharini atayapiga mawimbi yatulie;+Vilindi vyote vya Mto Nile vitakauka. Kiburi cha Ashuru kitashushwa,Na fimbo ya mfalme wa Misri itaondoka.+