Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 26:39
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 39 Wale watakaobaki wataachwa waoze katika nchi za maadui wenu+ kwa sababu ya dhambi zenu. Naam, wataozea huko kwa sababu ya dhambi za baba zao.+

  • Isaya 64:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Na sisi sote tumekuwa kama mtu asiye safi,

      Na matendo yetu yote ya uadilifu ni kama kitambaa cha hedhi.+

      Sisi sote tutanyauka kama jani,

      Na makosa yetu yatatupeperusha kama upepo.

  • Ezekieli 24:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Vilemba vyenu vitakuwa kwenye vichwa vyenu na viatu vyenu kwenye miguu yenu. Hamtaomboleza wala kulia. Badala yake mtaoza katika makosa yenu,+ na kila mmoja wenu atamlilia mwenzake kwa maumivu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki