Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mika 4:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 “Siku hiyo,” asema Yehova,

      “Nitamkusanya yule aliyekuwa akichechemea,

      Na kumkusanya pamoja yule aliyetawanyika,+

      Pamoja na wale niliowatesa.

  • Mathayo 15:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Yesu akajibu: “Sikutumwa kwa yeyote isipokuwa kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.”+

  • Luka 15:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 “Ikiwa mmoja wenu ana kondoo 100, naye ampoteze mmoja, je, hatawaacha wale 99 nyikani aende kumtafuta yule aliyepotea mpaka ampate?+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki