Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 47:12, 13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Basi, endelea kufanya uchawi na ulozi wako mwingi,+

      Ambao umeutaabikia tangu ujana wako.

      Labda utafaidika;

      Labda utawatisha watu.

      13 Umechoka kwa wingi wa washauri wako.

      Na wasimame sasa na kukuokoa,

      Wale wanaoabudu mbingu,* wanaotazama nyota,+

      Wale wanaotoa ujuzi wakati wa miezi mipya

      Kuhusu mambo yatakayokupata.

  • Danieli 2:10, 11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Wakaldayo wakamjibu mfalme: “Hakuna mtu yeyote duniani* anayeweza kufanya jambo ambalo wewe mfalme unaagiza, kwa sababu hakuna mfalme yeyote mkuu wala gavana aliyewahi kumwomba kuhani yeyote mchawi, au mtu yeyote anayefanya mazingaombwe, au Mkaldayo afanye jambo kama hili. 11 Jambo ambalo wewe mfalme unaomba ni gumu, na hakuna yeyote anayeweza kukwambia jambo hilo isipokuwa miungu, ambao hawaishi miongoni mwa wanadamu.”*

  • Danieli 5:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Basi wanaume wote wenye hekima wa mfalme wakaja, lakini hawakuweza kusoma maandishi hayo wala kumwambia mfalme maana yake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki