Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 8:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Sasa andikeni katika jina la mfalme jambo lolote mnaloona linafaa kwa niaba ya Wayahudi nanyi mlitie muhuri kwa pete ya mfalme, kwa maana agizo lililoandikwa katika jina la mfalme na kutiwa muhuri kwa pete ya mfalme haliwezi kufutwa.”+

  • Danieli 6:7, 8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Maofisa wote wa mfalme, wasimamizi, maliwali, maofisa wakuu wa mfalme, na magavana, wameshauriana ili mfalme atoe amri na kutangaza marufuku, kwamba kwa siku 30 mtu yeyote atakayemwomba mungu yeyote au mwanadamu isipokuwa wewe, Ee mfalme, anapaswa kutupwa ndani ya shimo la simba.+ 8 Na sasa, Ee mfalme, itoe amri hiyo na kuitia sahihi,+ ili isiweze kubadilishwa kulingana na sheria ya Wamedi na Waajemi, ambayo haiwezi kufutwa.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki