16 Yule anayekuja kupigana naye atafanya apendavyo, na hakuna yeyote atakayesimama mbele yake. Atasimama katika nchi ya lile Pambo,*+ na uwezo wa kuangamiza utakuwa mikononi mwake.
45 Naye atapiga mahema yake ya kifalme* kati ya bahari kuu na mlima mtakatifu wa lile Pambo;*+ naye atasonga kufikia mwisho wake, na hakuna atakayemsaidia.