9 Pembe nyingine ndogo ilitokea katika mojawapo ya pembe hizo, nayo ikakua ikawa kubwa sana kuelekea kusini na kuelekea mashariki* na kuelekea lile Pambo.*+
41 Ataingia pia katika nchi ya lile Pambo,*+ na nchi nyingi zitakwazwa. Lakini hizi ndizo nchi zitakazoponyoka mikononi mwake: Edomu na Moabu na sehemu kuu ya Waamoni.
45 Naye atapiga mahema yake ya kifalme* kati ya bahari kuu na mlima mtakatifu wa lile Pambo;*+ naye atasonga kufikia mwisho wake, na hakuna atakayemsaidia.