Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 4:29, 30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 “Mkimtafuta Yehova Mungu wenu mkiwa huko, hakika mtampata,+ naam, mkiutafuta ushauri wake kwa moyo wenu wote na kwa nafsi* yenu yote.+ 30 Baadaye mtakapokuwa mkiteseka sana na mambo hayo yote yatakapokuwa yamewapata, ndipo mtakapomrudia Yehova Mungu wenu na kuisikiliza sauti yake.+

  • Kumbukumbu la Torati 30:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Kwa maana wakati huo mtaisikiliza sauti ya Yehova Mungu wenu na kushika amri zake na sheria zilizoandikwa katika kitabu hiki cha Sheria, nanyi mtarudi kwa Yehova Mungu wenu kwa moyo wenu wote na kwa nafsi* yenu yote.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki