Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 12:32, 33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Pia, Yeroboamu akaanzisha sherehe katika mwezi wa nane, siku ya 15 ya mwezi huo, kama ile sherehe iliyokuwa ikifanywa kule Yuda.+ Kwenye madhabahu aliyojenga kule Betheli,+ alitoa dhabihu kwa wale ndama aliokuwa ametengeneza, na huko Betheli akaweka makuhani wahudumu mahali pa juu alipokuwa amejenga. 33 Katika siku ya 15 ya mwezi wa nane, mwezi aliojichagulia, akaanza kutoa dhabihu kwenye madhabahu aliyokuwa amejenga huko Betheli; akaanzisha sherehe kwa ajili ya Waisraeli, naye akapanda juu ya madhabahu ili kutoa dhabihu na kufukiza moshi wa dhabihu.

  • Hosea 13:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 “Waefraimu walipoongea, watu walitetemeka;

      Walikuwa maarufu miongoni mwa Waisraeli.+

      Lakini wakawa na hatia kuhusiana na Baali,+ nao wakafa.

       2 Sasa wanazidisha dhambi yao

      Na kutengeneza sanamu za madini* kwa fedha yao;+

      Wanatengeneza sanamu kwa ustadi, hizo zote ni kazi za mafundi.

      Wanasema hivi mbele ya sanamu hizo: ‘Watu wanaotoa dhabihu na wabusu ndama hawa.’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki