Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 11:6-8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Mbwamwitu atakaa pamoja na mwanakondoo kwa muda fulani,+

      Na chui atalala pamoja na mwanambuzi,

      Na ndama na simba* na mnyama aliyenoneshwa wote watakuwa pamoja;*+

      Na mvulana mdogo atawaongoza.

       7 Ng’ombe na dubu watakula pamoja,

      Na watoto wao watalala pamoja.

      Simba atakula majani kama ng’ombe dume.+

       8 Na mtoto anayenyonya atacheza juu ya shimo la swila,

      Na mtoto aliyeachishwa kunyonya atatia mkono wake juu ya shimo la nyoka mwenye sumu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki