-
Kumbukumbu la Torati 24:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 “Unapokusanya zabibu katika shamba lako la mizabibu, hupaswi kurudi kukusanya zabibu zilizobaki. Unapaswa kumwachia mkaaji mgeni, yatima, na mjane.
-