-
Yeremia 2:14, 15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 ‘Je, Israeli ni mtumishi, au ni mtumwa aliyezaliwa nyumbani?
Basi kwa nini amekuwa kitu cha kuporwa?
Waliifanya nchi yake kuwa kitu cha kutisha.
Majiji yake yameteketezwa, hivi kwamba hakuna mkaaji.
-