Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 23:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 “Ole wao wachungaji wanaowaangamiza na kuwatawanya kondoo wa malisho yangu!” asema Yehova.+

  • Yeremia 50:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Watu wangu wamekuwa kundi la kondoo waliopotea.+ Wachungaji wao wenyewe waliwafanya wapotee.+ Waliwapeleka kwenye milima, wakitangatanga kutoka mlima mpaka kilima. Wamepasahau mahali pao pa kupumzika.

  • Ezekieli 34:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Kwa hiyo walitawanyika kwa sababu hakukuwa na mchungaji;+ walitawanyika na kuwa chakula cha kila mnyama wa mwituni.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki