Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 65:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 “Hakutakuwemo tena ndani yake mtoto mchanga anayeishi siku chache tu,

      Wala mzee asiyetimiza siku zake.

      Kwa maana mtu anayekufa akiwa na miaka mia moja ataonwa kuwa mvulana tu,

      Na mtenda dhambi atalaaniwa, hata ingawa ana umri wa miaka mia moja.*

  • Yeremia 30:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 “Nawe, mtumishi wangu Yakobo, usiogope,” asema Yehova,

      “Wala usihofu, Ee Israeli.+

      Kwa maana nitakuokoa kutoka mbali

      Na uzao wako kutoka katika nchi waliyopelekwa utekwani.+

      Yakobo atarudi na kuwa na utulivu bila usumbufu,

      Na hakuna yeyote atakayewaogopesha.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki