Sefania 3:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 Tazama! Wakati huo nitawachukulia hatua wote wanaokukandamiza;+Nami nitamwokoa yule anayechechemea,+Nitawakusanya pamoja waliotawanyika.+ Nitawafanya kuwa kitu cha sifa na umaarufu*Katika kila nchi ambamo waliaibishwa.
19 Tazama! Wakati huo nitawachukulia hatua wote wanaokukandamiza;+Nami nitamwokoa yule anayechechemea,+Nitawakusanya pamoja waliotawanyika.+ Nitawafanya kuwa kitu cha sifa na umaarufu*Katika kila nchi ambamo waliaibishwa.