Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 11:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 nitawapa* pia mvua kwa ajili ya nchi yenu katika majira yake, mvua ya vuli na mvua ya masika, nanyi mtakusanya nafaka yenu na divai yenu mpya na mafuta yenu.+

  • Zekaria 8:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 ‘Kwa maana mbegu ya amani itapandwa; mzabibu utazaa matunda yake na dunia itatoa mazao yake,+ na mbingu zitatoa umande wake; nami nitawapa watu waliobaki wa taifa hili vitu hivi vyote viwe urithi wao.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki