7 Basi kaeni katika nyumba hiyo,+ na mle na kunywa watakachowaandalia,+ kwa maana mfanyakazi anastahili mshahara wake.+ Msihame kutoka nyumba mpaka nyumba.
7 Ni mwanajeshi gani ambaye hutumika kwa gharama yake mwenyewe? Ni nani anayepanda shamba la mizabibu naye asile matunda yake?+ Au ni nani anayechunga mifugo naye asinywe maziwa ya mifugo yake?