-
1 Wakorintho 9:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Ni nani atumikaye wakati wowote akiwa askari kwa gharama yake mwenyewe? Ni nani apandaye shamba la mizabibu na asile katika matunda yalo? Au ni nani achungaye kundi na asile kiasi fulani cha maziwa ya kundi?
-