7 Ni mwanajeshi gani ambaye hutumika kwa gharama yake mwenyewe? Ni nani anayepanda shamba la mizabibu naye asile matunda yake?+ Au ni nani anayechunga mifugo naye asinywe maziwa ya mifugo yake?
7 Ni nani ambaye hutumika akiwa askari kwa gharama yake mwenyewe? Ni nani ambaye hupanda shamba la mizabibu na asile matunda yake?+ Au ni nani ambaye huchunga kundi na asinywe sehemu ya maziwa ya kundi?+