Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 16:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Kizazi kiovu na chenye uzinzi* kinaendelea kutafuta ishara, lakini hakitapewa ishara yoyote+ isipokuwa ishara ya Yona.”+ Ndipo akawaacha, akaenda zake.

  • Luka 11:29-32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Umati ulipozidi kuongezeka, akaanza kusema: “Kizazi hiki ni kiovu; kinatafuta ishara, lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ishara ya Yona.+ 30 Kwa maana kama vile Yona+ alivyokuwa ishara kwa Waninawi, ndivyo Mwana wa binadamu atakavyokuwa kwa kizazi hiki. 31 Malkia wa kusini+ atasimamishwa katika hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki naye atakihukumu kwa sababu alikuja kutoka miisho ya dunia ili asikie hekima ya Sulemani. Lakini tazama! hapa pana mtu mkuu kuliko Sulemani.+ 32 Watu wa Ninawi watasimama katika hukumu pamoja na kizazi hiki nao watakihukumu, kwa sababu walitubu Yona alipowahubiria.+ Lakini tazama! hapa pana mtu mkuu kuliko Yona.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki