Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 18:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Kisha wakamtoa Yesu kwa Kayafa na kumpeleka kwenye makao ya gavana.+ Ilikuwa asubuhi mapema. Lakini wao hawakuingia ndani ya makao ya gavana, ili wasitiwe unajisi+ kwa sababu walitaka kula mlo wa Pasaka.

  • Matendo 10:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Akawaambia: “Mnajua jinsi ilivyo kinyume cha sheria kwa Myahudi kushirikiana au kumkaribia mtu wa jamii nyingine,+ lakini Mungu amenionyesha kwamba sipaswi kumwita mtu yeyote najisi au asiye safi.+

  • Matendo 11:2, 3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Basi Petro alipopanda kwenda Yerusalemu, wale waliounga mkono kutahiriwa+ wakaanza kumkosoa,* 3 wakisema: “Uliingia ndani ya nyumba ya watu ambao hawajatahiriwa nawe ukala pamoja nao.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki