Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 11:15, 16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Wakafika Yerusalemu. Akaingia hekaluni akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza na kununua hekaluni, naye akazipindua meza za wale waliokuwa wakibadili pesa na viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa,+ 16 na hakumruhusu mtu yeyote apite hekaluni akiwa amebeba chombo.

  • Luka 19:45
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 45 Kisha akaingia hekaluni na kuanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza,+

  • Yohana 2:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Basi akatengeneza mjeledi wa kamba na kuwafukuza hekaluni wote waliokuwa na kondoo na ng’ombe, akamwaga sarafu za wale waliobadili pesa na kupindua meza zao.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki