Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 3:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Tayari shoka limewekwa kwenye mzizi wa miti. Basi, kila mti usiozaa matunda mazuri utakatwa na kutupwa motoni.+

  • Marko 11:13, 14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Akaona kwa mbali mtini wenye majani, akaenda kuona kama angepata chochote. Lakini, alipoufikia, hakupata chochote ila majani, kwa maana hayakuwa majira ya tini. 14 Basi akauambia: “Mtu yeyote asile matunda yako tena kamwe.”+ Nao wanafunzi wake walikuwa wakisikiliza.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki