Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 1:12, 13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Mara moja roho ikamchochea kuingia nyikani. 13 Basi akakaa nyikani kwa siku 40, akijaribiwa na Shetani.+ Aliishi kati ya wanyama wa mwituni, lakini malaika walikuwa wakimhudumia.+

  • Luka 4:1-4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Basi Yesu, akiwa amejaa roho takatifu, akaondoka Yordani, naye akaongozwa na roho kwenda nyikani+ 2 kwa siku 40, akijaribiwa na Ibilisi.+ Kipindi hicho chote hakula chakula, basi muda huo ulipokwisha, akahisi njaa. 3 Ndipo Ibilisi akamwambia: “Ikiwa wewe ni mwana wa Mungu, liambie jiwe hili liwe mkate.” 4 Lakini Yesu akamjibu: “Imeandikwa, ‘Mwanadamu hataishi kwa mkate tu.’”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki