41 Lakini tazama! mwanamume anayeitwa Yairo akaja, alikuwa ofisa msimamizi wa sinagogi. Akajiangusha miguuni pa Yesu akaanza kumsihi aende nyumbani kwake,+ 42 kwa sababu binti yake wa pekee, mwenye umri wa miaka 12 hivi, alikuwa karibu kufa.
Yesu alipokuwa akienda umati ukamsonga.