Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 9:18, 19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Alipokuwa akiwaambia mambo hayo, tazama! mtawala fulani aliyekuwa amekaribia, akaja na kumsujudia* akisema: “Kufikia sasa binti yangu atakuwa amekufa; lakini njoo uweke mkono wako juu yake naye atakuwa hai.”+

      19 Ndipo Yesu akasimama, akamfuata pamoja na wanafunzi wake.

  • Marko 5:22-24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Sasa mmoja wa maofisa wasimamizi wa sinagogi, aliyeitwa Yairo akaja, na alipomwona Yesu, akaanguka miguuni pake.*+ 23 Akamsihi mara nyingi, akisema: “Binti yangu mdogo ni mgonjwa sana.* Tafadhali njoo uweke mikono yako juu yake+ ili apone na kuishi.” 24 Ndipo Yesu akaenda pamoja naye, na umati mkubwa ulikuwa ukimfuata na kumsonga.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki